KILA LINALOFANYIKA CHINI YA JUA LINA MAANA YAKE HIVYO USIFE MOYO
Kuna binti alikuwa akisafiri kwa basi kutoka mji mmoja kwenda mji
mwingine. Wakiwa njiani dada yule akamwomba dereva asimame ili ashuke na
kwenda kununua maji, dereva akakubali na binti akenda kununua.
Aliporudi akaona kuna mtu mwingine kaka kwenye siti yake, Alichukia sana na kumwambia yule mtu ashuke na kumwachia siti yake.
Baaada ya yule mtu kukataa kushuka amwachie siti basi binti kwa uchungu akashuka na kusubiri basi lingine.
Hazikupita dakika ishirini na tano wakaambiwa kuna gari limepata ajali
na waliposogea eneo la ajali akashuhudia lile basi likiwa limepatwa na
ajali.
Alipofika pale mlangoni machozi yakamtoka zaidi kwani yule mtu aliyekaa kwenye siti yake pekeee ndiye aliyekufa.
Akalia kwa sauti kubwa “ Mungu wangu haya mauti yalitakiwa yawe yangu…. Asante Mungu Umeniepushia”
Nami nakuombea mwenyezi Mungu akuepushie mbali na matatizo ya dunia hii na kukupa maisha marefu yenye amani
Comment Amen kisha Share kama waamini ni kwa neema za Mungu pekee tunaishi na kuepushwa na majanga ya dunia hi
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni