RAY C NA MPANGO WA KUNYAKUA PENZI LA DIAMOND PLATNUMZ KUTOKA WA WEMA...CHEKI HAPA
| Ray C |
Msanii
"kiuno bila mfupa" Rehema Chalamila. 'Ray C' anadaiwa kuwa bize na
harakati za kumnasa sukari ya warembo Naseeb Abdul 'Diamond' katika anga
za maoenzi huku duru za habari zikidai kuwa muda si mrefu kuanzia saaa
yataandikwa mengi juu ya wawili hao
Mwandishi wetu alizungumza na rafiki wa karibu na Ray C hivi karibuni na kuambiwa kuwa muda mwingi jina la Diamond halikatiki mdomoni mwa mrembo huyo
![]() |
| Diamond Platnumz |
Chanzo
chetu cha habari kilizidi kudai kuwa kwa sasa Ray C hana furaha hadi
atakapotimiza nia na lengo la kumnasa Diamond hapo ndipo furaha yake
itakapotimu
Aidha habari zinazidi kudai kuwa mara kadhaa Ray C amekuwa akipanga Miadi ya kukutana na Diamond licha yakushindikana kwa apointiment hizo kila mara "kwasasa Ray C haambiwi kitu kwa Diamond, ana haha kila wakati kumweka mikononi mwake, hana furaha kabisa hadi lengo lake litakapotimia, na muda si mrefu mtaandika juu ya hao" alisema rafiki ea Karibu na Ray C

| Wema sepetu |
Mwandishi
wetu aliwatafuta wawili hao kwa njia ya simu ambapo simu ya Ray C
ilionekana kuwa bize muda mwingi huku Diamond akidai kutokuwa na taarifa
juu ya madai hao "kaka mimi sina taarifa kabisa na habari hizo, kwangu
Ray C namchukulia kama dada yangu" alisema Diamond.
Mwandishi wetu alipomtaka Diamond kufafanua hatua atakayochukua endapo mrembo huyo ataamua kumwambia anamtaka ambapo kwa haraka Diamond alisema "NO COMNENT (sina cha kujibu)" na kukata simu.
Mwandishi wetu alipomtaka Diamond kufafanua hatua atakayochukua endapo mrembo huyo ataamua kumwambia anamtaka ambapo kwa haraka Diamond alisema "NO COMNENT (sina cha kujibu)" na kukata simu.

0 comments:
Chapisha Maoni