Taarifa zilizotufikia hapa ni kwamba Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Daressalaam ameonyesha hati halisi ya muungano iliyosainiwa na waasisi wa muungano huo hayati Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni