Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi.
 |
Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakijiandaa kumpokea rais Kikwete alipowasili mjini Moshi.
|
Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.
 |
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi.
|
 |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza mara baada ya rais kuwasili ikulu mjini Moshi kwa ajili ya ziara wilayani Mwanga |
0 comments:
Chapisha Maoni