Jumatano iliyopita watu wenye silaha walifanya shambulizi dhidi ya maofisa wa serikali katika mji wa Raja na kuwaua maofisa ya wanajeshi wa jeshi la serikali. Mapigano hayo yalisababisha mji wa Raja kutekwa kwa muda na wapiganaji.
Muda mfupi baada ya kutokea mapigano hali ya uporaji ilitokea na magari matatu ya chama cha msalaba mwekundu yaliibiwa.
Mpaka sasa hakuna kundi lililotangaza kuwajibika na shambulizi dhidi ya mji wa Raja.
0 comments:
Chapisha Maoni