.

.

MUUMIN AUAWA BAADA YA MCHUNGAJI KUSHINDWA KUFANYA MIUJIZA

Posted by Williammalecela.com on Sunday, January 22, 2017


Katika harakati za kuonyesha miujiza ya Mwenyezi Mungu, Mchungaji mmoja kutoka huko Afrika Kusini, katika Kanisa la ‘The Mount Zion General Assembly’ aliyejulikana kwa jina la Lethebo Rabalango, kushindwa kuonyesha

miujiza hiyo iliyoishia kwa mwanamke ambaye ni muumini wa kanisa lake kupoteza maisha baada ya kuwekewa spika nzito juu ya mwili wake alipokua amelala chini.

Mchungaji Lethebo Rabalango alimwalika mwanamke mmoja kwenye jukwaa na kumwambia alale chini na kisha kuaamuru wasadizi wake kumuwekea spika ya redio kubwa yenye uzito wa kilo 113.4, na kama hiyo haikutosha Mchungaji huyo akapanda na kukaa juu huku akisema mwanamke huyo hatapata maumivu yoyote kwa ajili ya nguvu na uwezo aliyonao Mungu. 

Na cha kushangaza mwanamke huyo alipoteza maisha papo hapo kutokana na uzito wa spika ile kusababisha madhara kwenye mfumo wa upumuaji wake
Share on Google Plus

About Dira Ya Maisha

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Chapisha Maoni