.

.

MWANAMKE MMOJA AUWAWA NA MUMEWE MKOANI TABORA.

 


Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mariam Yusuph mkazi wa Kijiji cha Inala mkoani Tabora, amefariki dunia baada ya mume wake kudaiwa kumpiga na kitu kizito kichwani na kumdumbukiza kisimani usiku wa kuamkia septemba 18, 2022.


Inaelezwa chanzo cha tukio hilo, ni mume wa marehemu huyo anayeitwa  Ally Idd kuota ndoto kuwa mke wake ndiye mchawi wake.


Mwanaume huyo amechukua hatua hiyo ikiwa ni baada ya muda mfupi kupokea maelekezo kwa mganga wake kuwa atakaye muota ndotoni ndiye mchawi wake. Jeshi la Polisi mkoani humo limethibisha taarifa hiyo.


CHANZO:GADI TV.

Share on Google Plus

About Dira Ya Maisha

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Chapisha Maoni